Podchaser Logo
Charts
Ijumaa - mosi Julai

Ijumaa - mosi Julai

Released Friday, 1st July 2022
Good episode? Give it some love!
Ijumaa - mosi Julai

Ijumaa - mosi Julai

Ijumaa - mosi Julai

Ijumaa - mosi Julai

Friday, 1st July 2022
Good episode? Give it some love!
Rate Episode

Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman.

Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii.

Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: [email protected]

Ahsanteni sana na kila la khair.

Show More

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features