Podchaser Logo
Home
HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA

HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA

Released Saturday, 23rd May 2020
Good episode? Give it some love!
HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA

HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA

HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA

HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA

Saturday, 23rd May 2020
Good episode? Give it some love!
Rate Episode

Watu wengi sana katika maisha ya leo wako mbio wakitafuta pesa bila kuangalia wanapita wapi au wanafanya nini, lengo lao la msingi likiwa ni lazima pesa ipatikane. 

Bahati mbaya sana katika mbio hizi mara nyingi afya husahaulika sana, kwa kuonekana kwake labda sio muhimu sababu mtu anajiona yuko fit tu anachelewa kulala, anawahi kuamka, hapati muda wa kupumzika, na mambo mengine mengi sana.

Lakini siku moja itafika ukawa na pesa zote ulizohitaji (kama utazipata) lakini huenda afya yako ikawa mbovu na ukaanza mbio nyingine tena za kukimbilia kuiokoa afya ambayo sasa itakunyima hata uhuru wa kufurahia pesa zako.

Kwahiyo wito wangu ni kwamba kamwe tusisahau afya kwa haswa ndio utajiri wa kwanza.

Show More
Rate

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Episode Tags

Do you host or manage this podcast?
Claim and edit this page to your liking.
,

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features