Podchaser Logo

The Uongozi Wa Kiroho Podcast

Good podcast? Give it some love!

Episodes of The Uongozi Wa Kiroho Podcast

Dr. Richard Lewis anaeleza vile ambavyo mustakabali wa huduma ya umisionari umo mikononi mwa kanisa la Marekani ya Kusini, Asia na Afrika na anatoa changamoto kwa ajili ya wasikilizaji wa podcast tuwe tayari kujibu wito wa Bwana pasipo hofu na
Inawezekana kiongozi wa mambo ya kiroho asisome Neno la Mungu kwa uaminifu? Ndiyo. Katika podcast hii kuna mashauri na mapendekezo kwa ajili ya kiongozi wa kiroho ambaye ana moyo wa kujenga maisha na huduma yake juu ya msingi ulio bora.
Kila kiongozi wa kiroho anapaswa kujiuliza swali: “Kwa nini ninamtumikia Bwana?” Amini, usiamini, kuna viongozi wengi ambao wamesahau wito wao na maana yake na wameanza kufanya huduma kwa ajili ya mapato. Katika podcast hii tutaangalia Neno la
Katika podcast hii tunaendelea kukazia sifa muhimu za Kiongozi wa Kiroho. Lazima atawale ulimi wake na kutunza maneno yake na asiwe mtu wa kusengenya watu. Kiongozi awe mtu anayesema wazi, bila kuficha ficha maana yake, na asiwe mtu wa kuwasema
Mmisionari ambaye amekubali wito wa Bwana na kutumwa kwa watu wa lugha na utamaduni tofauti hupaswa kuzoea maisha mapya. Kuna changamoto nyingi, lakini pia kuna baraka kwa sababu ya kutii sauti ya Bwana na kumtegemea Yeye aliyemwita. Katika pod
Wengi walisema “haiwezekani!” Walidai kwamba Tanzania ni nchi maskini na kuna haja ya wamisionari kuja Tanzania na kuleta Injili. Lakini Mmisionari Mtanzania kutumwa na kanisa la Tanzania na kupeleka Injili nje si rahisi. Lakini Bwana aliita na
Walio viongozi kweli kweli si viongozi wa jina tu, bali ni viongozi waliostahili kuongoza kutokana na msimamo wao na uaminifu wao mbele za Mungu na mbele ya watu. Katika podcast hii ya na podcast zifuatazo tutaangalia sifa za muhimu ambazo humf
Sikiliza mashauri na hekima ya mwanamke mwaminifu ambaye amekuwa kiongozi wa kiroho siku nyingi. Katika podcast hii tunamwuliza juu ya familia yake, huduma yake, baraka na changamoto anazoziona katika uongozi wake n.k. Podcast hii si tu kwa aji
Je, ni lazima mwanamke awe nyuma ya mwanamume katika ulimwengu wa uongozi? Wanawake wanafaa tu kusaidia waume zao na wanaume wengine, au wanawake wanafaa kuongoza wenyewe katika mambo ya kiroho? Katika podcast hii tunaongea na wanawake waaminif
Heri ya Mwaka Mpya! Siku za kwanza za mwaka mpya ni wakati mzuri wa kutathmini juu ya maisha yetu, huduma yetu, na hali yetu ya kiroho kama viongozi. Podcast hii ni ujumbe maalum nilioandaa kwa ajili yako tunapoanza mwaka 2021. Kama umeanza kuc
Si watu wote wanaofaa kufanya huduma katika timu. Kiongozi lazima awe na tabia fulani na wanatimu pia wawe watu wa namna ya pekee. Sikiliza podcast hii tunapoendelea na mada ya "timu" na kuzungumzia ubora wa kufanya huduma pamoja na watu wengin
Mhubiri alisema, "Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; kwa sababu wana tuzo njema kwa kazi yao." (Mhubiri 4:9). Katika podcast hii na podcast ijayo tutasikia kutoka kwa kiongozi wa kiroho ambaye amekuwa akiongoza timu katika huduma siku nyingi, k
Sisi tulio viongozi wa kiroho mara nyingi huathiriwa na sauti za watu waliotuzunguka. Sauti za sifa, na sauti za malalamiko hufuatana na kiongozi yeyote siku zote. Lakini Biblia inasema nini juu ya sauti zile? Kama wafuasi wa Yesu Kristo, sisi
Katika podcast hii ya tatu tunamaliza mkazo wetu juu ya Huduma ya Vijana na kusikia kutoka kwa Ndugu Abraham Stanslaus kuhusu kuwafikia vijana wasiookoka. Haitoshi kuandaa huduma nzuri kanisani na kukaribisha vijana. Ni juu yetu kutafuta vijana
Tumeisha ona kwamba tusipolenga vijana na kuwafikia na Injili tutapoteza nafasi ya kufikia kizazi kijacho na kushindwa kuona mafanikio kanisani. Vijana ni muhimu. Lakini vijana wana mahitaji ya pekee na kuna majaribio mengi sana yanayowavuta si
Tusipolenga kuwafikia vijana, tutapoteza kizazi cha sasa, tutakosa nguvu katika huduma, na tutashindwa kuendeleza Injili popote tulipo. Katika podcast hii tunazungumza na mtu ambaye ana moyo wa kuhudumia vijana na amefanya huduma ya vijana kwa
Kila Kiongozi wa Kiroho anahitaji watu wa namna mbili katika maisha yake. Anahitaji maadui wanaosema ukweli na anahitaji marafiki waaminifu wasemao ukweli. Na yeye kama kiongozi anapaswa kuwa tayari kusema ukweli na watu wengine hata ingawa man
Kwa njia gani kiongozi anaweza kutunza familia yake ili wawe na furaha na amani nyumbani na kuwa baraka na msaada katika huduma badala ya mzigo? Katika podcast hii tunaendelea na maongezi yetu na Mchungaji Onesimus Kibera juu ya familia ya kion
Pasipo familia yenye ushuhuda mzuri na sifa njema, kiongozi atakosa nguvu na msaada unaotakiwa katika huduma yake. Mchungaji Onesimus Kibera anashiriki nasi katika podcast hii akieleza umuhimu wa familia katika maisha na huduma ya kiongozi wa k
Adui wetu hufurahi sana akiona kiongozi anayeacha nidhamu za msingi za kiroho na kuanza kujitegemea nguvu zake na hekima yake. Katika podcast hii tunaendelea na maongezi yetu na Mzee Vernon Smith juu ya maisha ya kiroho ya kiongozi. Mgeni wetu
Mzee Vernon Smith yuko nasi katika podcast hii, akijibu maswali yangu juu ya Nidhamu za Kiroho katika maisha ya kiongozi. Katika podcast hii ya kwanza anatoa ushauri wake juu ya mambo ya lazima yaliyopaswa kuwemo katika maisha ya kiongozi wa ki
Ni nini inayoweza kubadilisha maisha ya watu na kuleta athari katika jamii? Ni Neno la Mungu. Mgeni wetu, Mchungaji Ngunjiri, anatoa mashauri juu ya nguvu ya Neno kubadili maisha ya watu na tunasihiwa kupanda Neno la Mungu katika huduma zetu na
Huduma ya kiongozi inaweza kuwa na nguvu na kutumiwa na Bwana kuathiri jamii yake. Mchungaji Ngunjiri anasisitiza umuhimu wa kiongozi kushirikiana vizuri na majirani na watu wa eneo lake, na kuandaa huduma ambazo zinabariki jamii na kuwasaidia
Mchungaji Stephen Ngunjiri anaeleza umuhimu wa kiongozi wa kiroho kuwa na sifa njema na ushuhuda mzuri katika jamii, na sio tu ushuhuda wake bali ni ushuhuda wa mkewe na watoto wake pia.
Tusipotumia hekima katika ugawaji wa huduma, badala ya kuona baraka na huduma kusonga mbele, tunaweza kujuta kwa nini nilimpa mtu fulani kazi. Katika episode hii ya mwisho katika mfululizo huu, kuna ushauri kuhusu kukabidhi wengine huduma kwa n
Rate Podcast
Do you host or manage this podcast?
Claim and edit this page to your liking.
Are we missing an episode or update?
Use this to check the RSS feed immediately.