Podchaser Logo
Charts
KaBrazen

The LAM Sisterhood

KaBrazen

A weekly Kids and Family podcast

Good podcast? Give it some love!
KaBrazen

The LAM Sisterhood

KaBrazen

Episodes
KaBrazen

The LAM Sisterhood

KaBrazen

A weekly Kids and Family podcast
Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of KaBrazen

Mark All
Search Episodes...
Nov 30th, 2024
Msichana anayeimba, ukwepaji wa kijasiri na tamasha la kipekee kweli kweli! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kimuziki ya msichana anayeeneza furaha kila aendako. Kutoka awe msichana mdogo aliyekua na kuwa mwanamuziki maarufu katika nchi yake, hadi kutoroka nyumbani usiku wa manane, na...

Categories

KidsFamily
Nov 16th, 2024
A singing girl, a daring escape and an extra special concert! In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the musical story of the girl who spreads joy. From being a little girl who became a famous singer in her country, to having to secretly escape from home in the middle of the night, to turning into a glob...

Categories

KidsFamily
Nov 2nd, 2024
Ardhi kuibwa, ndimi zenye sumu na safari ya kishujaa!Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi murua inayohusu msichana aliyeota juu ya uhuru wa kweli. Katika ulimwengu wa kutisha ambapo vyura wasio na rangi wala nyoyo wamenyakua ardhi na hata kubadili nyoyo za watu wake, Muthoni mdogo kamwe haka...

Categories

KidsFamily
Oct 18th, 2024
Stolen home, poisoned tongues and a heroic journey! In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the brilliant story of the girl who dreamt of freedom. In a scary world where the colourless frogs with no hearts have taken over the land, and even turned the hearts of her people, little Muthoni never gives up. M...

Categories

KidsFamily
Sep 20th, 2024
Mbegu zinazoimba, watu wachoyo na msichana anayekumbuka jinsi ya kusikiliza! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi murua juu ya msichana anayesikiliza mbegu. Katika dunia ambapo watu wameshikamana na ardhi yao, dunia ambapo mbegu huzungumza na wanawake wanasikiliza, kila kitu kinabadilika wau...

Categories

KidsFamily
Sep 6th, 2024
Singing seeds, selfish people and a girl who remembers how to listen! In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the remarkable story of the girl who listens to seeds. In a world where the people are connected to their land, where the seeds speak and the women listen, everything changes when greedy sellers a...

Categories

KidsFamily
Aug 30th, 2024
Two friends, a magical quest, and a story that must be told! In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the fantastical story of the girl who loved stories. The daring and brave Therese goes on a quest through the City of Tales, to bring the story she wants to tell to life. With the help of her friend Gerald...

Categories

KidsFamily
Aug 3rd, 2024
Marafiki wawili, msako wa ajabu na hadithi ambayo lazima isimuliwe!Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kustaajabisha inayohusu msichana aliyependa hadithi. Therese mwenye ujasiri anapiga safari katika Mji wa Hekaya akisaka njia za kufufua hadithi yake na kuipa uhai. Pamoja na usaidizi wa...

Categories

KidsFamily
Jul 26th, 2024
Dark caves, colourless frogs and a triumphant echo! In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the incredible story of the girl who found her voice. In a world where some people were forced into lonely holes where they could only whisper, Bessie used her loud voice to give her people hope. Bessie reminds us ...

Categories

KidsFamily
Jul 19th, 2024
Mapango yenye giza, vyura wasio na rangi na mwangwi wenye mafanikio! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua inayohusu msichana aliyetumia sauti yake. Katika dunia ambapo baadhi ya watu walilazimika kuishi katika mashimo yenye upweke, ambapo walilazimika kunong’ona tu, Bessie alitu...

Categories

KidsFamily
Jul 12th, 2024
In this bonus KaBrazen episode, we hear Aunty Shishi tell a story live!  During the KaBrazen Live Experience, held  on Mashujaa Day, Aunty Shishi reimagined the fantastical story of the celebrated Queen Njinga from Angola who could untie any knot. On this special day, Aunty Shishi got to share this story with a group o...

Categories

KidsFamily
Jul 5th, 2024
Katika kipindi hiki maalum kabisa cha KaBrazen kutoka kwa hafla ya KaBrazen Live Experience iliyofanyika siku ya Mashujaa, tunapata fursa ya kumsikiliza Zarina Patel mwenyewe! Kama vile watoto waliohudhuria hafla hiyo watakavyokumbuka, Zarina alituambia kuwa watu wadogo wanaweza kuleta mabadiliko makubwa…na alitukumbus...

Categories

KidsFamily
Jun 28th, 2024
Katika kipindi hiki cha ziada cha KaBrazen, tunamsikia Tata Nduta akisimulia hadithi moja kwa moja! Katika hafla ya  Experience iliyofanyika siku ya Mashujaa, Tata Nduta alisimulia hadithi ya kusisimua ya jinsi Zarina Patel, msichana aliyekuwa na moyo mkubwa, alivyopigana kwa ujasiri kuokoa bustani ya Jeevanjee jijini ...

Categories

KidsFamily
Jun 21st, 2024
Big hopes, mean bullies and a girl beloved by dreams!In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the phenomenal story of the bubbly Kenyan girl with big dreams.. In a world where dreams sing, listen, and help you, Nelly reminds us that it’s okay to try, to fail and to learn…because your dreams can come true.

Categories

KidsFamily
Jun 14th, 2024
Matumaini makubwa, wachokozi wabaya na msichana anayependwa na ndoto! Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana mmoja Mkenya, mchangamfu, aliyeota ndoto kubwa kubwa. Katika dunia ambapo ndoto huimba, kusikiliza na kukusaidia, Nelly anatukumbusha kwamba ni sawa kujarib...

Categories

KidsFamily
Jun 7th, 2024
Gobbled up dreams, disappearing colours and a brilliant plan! In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the extraordinary story of the girl who dreams out loud. In a world where people’s dreams are being swallowed up by a greedy chameleon, Ketty courageously shows her people in Burundi how important it is t...

Categories

KidsFamily
May 31st, 2024
Ndoto zinazomezwa, rangi zinazotoweka na mpango bora kabisa!Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana anayeota kwa sauti. Katika ulimwengu ambapo ndoto za watu zinamezwa na kinyonga mlafi, Ketty kwa ujasiri, anawaonyesha watu wake wa Burudi umuhimu wa kuendelea kuota!...

Categories

KidsFamily
May 24th, 2024
In this KaBrazen episode, Aunty Shishi reimagines the amazing story of the girl who dreamed of singing. Bi Kidude sang for over one hundred years in Zanzibar and around the world, and reminds us to listen to what makes us happy, after all our soul knows what to do.Care warning: Topics include child marriage and physic...

Categories

KidsFamily
May 17th, 2024
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.Tafadhali zingatia kwa maki...

Categories

KidsFamily
Nov 17th, 2023
Credits Sound Engineer: Wambui WaciuriIllustrations: Melody JelagatWritten by: Aleya KassamEdited by: Anne MoraaVoiced by: Afrikan NdutaKaBrazen Team: Afrikan Nduta & Jane Nthanze Theme song by: Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua Logo by: Francis Ally MlachaProduced at: Za Kikwetu ProductionsProduced by: The L...

Categories

KidsFamily
Nov 10th, 2023
CreditsSound Engineer: Wambui WaciuriIllustrations: Melody JelagatWritten by: Aleya KassamEdited by: Anne MoraaVoiced by: Afrikan NdutaKaBrazen Team: Afrikan Nduta & Jane Nthanze Theme song by: Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua Logo by: Francis Ally MlachaProduced at: Za Kikwetu ProductionsProduced by: The LA...

Categories

KidsFamily
Nov 3rd, 2023
Kutoka Kenya hadi Angola, sasa tunakwenda moja kwa moja hadi Morocco! Wiki hii, hadithi tunayorejelea tena ni kuhusu chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani!Kumbuka kwamba kipindi hiki kinatoa tahadhari kwa msikilizaji kwani kinahusu kifo cha mzazi. Lakini kama utakavyoonyehswa na Fatima na Maryam, mnapojaliana, mnaweza ...

Categories

KidsFamily
Oct 27th, 2023
Katika kipindi cha pili cha KaBrazen, tunafunga safari ya kuelekea Angola kusikiliza hadithi murua ya shujaa mpendwa Malkia Njinga ambaye ni msichana aliyeweza kufungua fundo lolote. CreditsSound Engineer: Wambui WaciuriIllustrations: Melody JelagatWritten by: Aleya KassamEdited by: Anne MoraaVoiced by: Afrikan...

Categories

KidsFamily
Oct 20th, 2023
Katika kipindi cha kwanza cha KaBrazen, Tata Nduta anatusimulia hadithi ya kweli, tena ya kusisimua kuhusu  mpigania uhuru hodari, Mekatilili wa Menza aliyekuwa binti mfalme shujaa aliyependa Kudansi.CreditsSound Engineer: Wambui WaciuriIllustrations: Melody JelagatWritten by: Aleya KassamEdited by: Anne MoraaVoi...

Categories

KidsFamily
Jul 14th, 2023
A snippet from our KaSpecial: Celebration

Categories

KidsFamily
Rate
Contact This Podcast

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features