Jinsi ya kutumia content marketing katika biashara yako kuweza kutangaza na kuuza bidhaa au huduma yako.Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa+255673150026
MAMBO 4ya kufanya ili unase wateja. 1:know your customers jua mteja wako. 2:what problem are you solving unatatua tatizo gani 3:create traffic tengeneza trraffic 4: tengeneza jukwaa
Topic 1: MAKOSA 7 YANAYOFANYWA NA WAJASIRIAMALI WADOGO KUKOSA WATEJA KATIKA MITANDAO.. Ndan ya topic hii tumezungumzia makosa yanyofanywa na wajasiriamali kuplkea kukosa wateja hii takupa uwelewa ili kuwza kuepuka makosa hayo na kuweza kujifunz