KIZAZI KIPYA PODCAST ni kwa wale wasio ogopa kuwa wao,Kwa wale walio tambua kuwa wao ni wenye nguvu zaidi ya walivyo ambiwa, walio tambua kuwa furaha ya kweli hutoka ndani na haitokani na hali yoyote ya nje,Kwa wale ambao badala ya kupaambana na hali za nje ili kupata amani ya moyo hugeuka na kuangalia ndani yao,Kwa wale walio amua kuishi kwa mipaka.Vilikuwepo vizazi na vizazi labda viliyajua haya na kutoyasimamia, hii ni kwa wale walio amua kuyasimamia haya, Hawa ni KIZAZI KIPYA na hii podcast ni kwa ajili yao.
Show More
Creators & Guests
We don't know anything about the creators of this podcast yet. You can so they can be credited for this and other podcasts.