Roho Mtakatifu ni mshauri mpole na mwenye amani. Joyce anafundisha jinsi tunavyohitaji kutengeneza mazingira sawa katika maisha yetu ili kumruhusu Roho Mtakatifu kufanya kazi ndani yetu.
Baadhi ya maneno muhimu sana utakayowahi kutamka ni yale unayosema kujihusu mwenyewe. Jifunze kunena Neno la Mungu katika maisha yako na kupokea nguvu zake.
Jitolee Mwili wako kwa Bwana. ( Warumi 12:1-2 ) Kila chumba ndani ya nyumba (miili yetu) inahitaji kuchunguzwa. Chumba cha kula, Sebule, Chumba cha kulala n.k.