Unapo kuwa unasoma zaburi ya 23 usisome kama kawaida ya kusoma kwako bali isome zaburi ya 23 kama kondoo ambaye ana muomba mchungaji wake ambaye ni Bwana Mungu wetu awe kiongozi katika maisha yake siku zote bila kukata tamaa... ukiamini kwamba Bwana ni mchungaji wako basi kubali kuchungwa naye na kwenda pale anapo kuelezeka. Karibu usikilize ujumbe huu Mungu amelenga ukufikie wewe hapo ndio wewe hapo
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More