Podchaser Logo
Home
Kwanini msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaendelee?

Kwanini msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaendelee?

Released Thursday, 4th February 2021
Good episode? Give it some love!
Kwanini msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaendelee?

Kwanini msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaendelee?

Kwanini msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaendelee?

Kwanini msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaendelee?

Thursday, 4th February 2021
Good episode? Give it some love!
Rate Episode

Kutokana na mahangaiko ya kila siku, matukio mbali mbali yanatokea ikiwemo mazuri na mabaya. Tatizo ni kuwa wengi tunaotikia tofauti tofauti kila matukio haya yanapoendelea katika maisha yetu ya kila siku. Madhara ya misongo ya mawazo yanatofautiana kutokana na namna mtu ameipokea na kushughulika na changamoto au mabadiliko yanavyohitaji. Wengi tunafanya makosa ya kuitikia au kupokea vibaya changamoto mbali mbali za maisha kiasi kwamba Msongo wa mawazo unakosa kuwa na msaada kwetu zaidi ya uharibufu. Stress au msongo wa mawazo ni muhimu ili maisha yaweze kuendelea. Hakuna mabadiliko yoyote bila stress. Hatuna uwezo wa kupigana na stress zetu, lakini tunaouwezo wa kuzimanage ili ziweze kuwa na msaada katika maisha yetu ya kila siku.

Show More

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features