Mpira Pesa Extra - Football Show.
Naitwa Mutani Yangwe, mwanamichezo maarufu na mwanzilishi wa kituo cha michezo al-maarufu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla TSC Sports Academy (kilichopo Mwanza) na USC Sports Academy (kilichopo Kampala), Shirika la Kimataifa la Maendeleo na Haki za Watoto Africa Cheka Sana Foundation (Tanzania, Uganda and Uingereza), Pamoja na Kampuni ya Kimaitafa ya kusaka, kuibua na kuwakilisha wanamichezo na sanaa ya Afrigap Group (iliyopo Uingereza).
Tafadhali ungana nami kila wiki nikikuletea habari moto moto, uchambuzi na utafiti wa mpira wa miguu duniani kupitia tovuti yangu ya Mpira Pesa pomoja na Afrigap Sports Management.
Karibuni Sana
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More