Muislam Kituo ni kituo chako utakachoweza kujipatia kile muislam anachotakiwa kuwa nacho kiimani, kijamii na hata kielimu. Hapa utaweza kuwasikiliza mashekhe na wajuzi mbali mbali katika fani za Dini ya Kiislam na harakati mbali mbali za maisha yetu ya kila siku ya duniani na katika kufanya maandalizi sahihi ya maisha yetu ya kesho Akhera.Tunamuomba Allah atujaalie tuweze kukufikishia Elimu itakayo tuunganisha na si kututenganisha. Kwani sisi ni umma mmoja utokanao na muongozo tuliopatiwa na Mtume wetu Muhammad Swalla Allahu wasallam kutoka kwa Allah Jalla Jalal.
Show More
Creators & Guests
We don't know anything about the creators of this podcast yet. You can so they can be credited for this and other podcasts.