Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma
Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda. Miongoni mwa vibao utakavyopokea ni pamoja na kutoka nchini DRC, Tanzania na kote duniani, skiza makala
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto ndani ya Makala Muziki ijumaa. Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania
Kila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa. Juma hili Benson Wakoli amekuandalia vibao mbalimbali kutoka Africa Mashariki, vibao vya kale na sasa, ili kupanda uhonda