Madhara ya uwekaji wallet / Pochi Zenye vitu vingi kwenye kwenye mifuko ya nyuma kwenye suruali Tunazozivaa na kuzikalia Msikilize Dr Kennedy daktari bingwa kutokea Taasisisi ya mifupa MOi akieleza madhara yake
Bara la Afrika lina nchi 54 kwa mujibu wa gazeti la Forbes lilipowatangaza matajri 20 wakubwa Afrika mwaka 2020 ni nchi 8 tu zilizotoa maatajiri hao ;MISRI 5 ,SOUTH AFRICA 5,NIGERIA 4 , MOROCCO 2, TANZANIA 1 ,ANGOLA 1,ZIMBABWE 1 ,ALGERIA 1,KINA