Hello Hello WEALTH BUILDERS,Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation.Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It.Love & Respect,Grace.
Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi.Love & Respect,Queen Gee - The Wealth Building Coach
Happy New Year Wealthy People!Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024.Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji.Love & Respect,Queen Gee - The Wealth Buildi
Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach
Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo.Usisahau kushare episode hii na wengine.XOXO,Your Wealth Building Coach
Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu.Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha.XOXO,Your fave wealth building coach.
Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato.Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato.Enjoy listening & learning,XOXO,Your fave Wealth Building Coach.
Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii.Enjoy listening & learning,XOXO,Your wealth building coa
Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya!Usiache kushare na marafiki episode hii,XOXO,Queen Gee. The Wealth Building Coach.
Hello Wealthy People!Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha.XOXO,Queen Gee, The Wealth Building Coach.
Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae. Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii
Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii.
Ili kupata uhuru wa kifedha unahitaji kuwa in control kwenye maisha yako, moja ya changamoto inayotufanya tushindwe kuwa in control ni madeni. Njia hizi zitakusaidia kuchomoka kwenye madeni yanayokulemea.
Kipato kidogo sio excuse ya kushindwa kufikia malengo yako. Hizi hapa kanuni ambazo ukizishika na kuzizingatia zitakusaidia kuweka akiba na kufikia malengo yako hata kama kipato chako ni kidogo.
Swali kubwa la wengi limekuwa ni wapi niweke akiba yangu, kwenye episode hii utapata kusikia baadhi ya sehemu ambazo unaweza kuweka akiba yako tena kwa faida juu.