Podchaser Logo
Home
RadioRahma

radiorahma

RadioRahma

Good podcast? Give it some love!
RadioRahma

radiorahma

RadioRahma

Episodes
RadioRahma

radiorahma

RadioRahma

Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of RadioRahma

Mark All
Search Episodes...
Kisa cha Ferry ya Mtongwe Kuzama
Vile Mwanabaharia Swaleh Yahya alipata kisanga akiwa baharini na ndugi yake na Mtalii
Vile kijana Murad Swaleh aliingilia Dawa za Kulevya tokea utotoni na kueza kujitoa baadae
Vile Mwanahabari alipoteza macho yake kwa ugonjwa unaoitwa Glaucoma
Utunzaji wa mazingira umekua changamoto kubwa sana kote ulimwenguni kwani mabadiliko ya hali ya hewa imeathiri vigezo vingi katika jamii ikiwemo afya, hewa safi, maji safi ya kunywa,chakula na makazi salama.Kufuatia hali hio wanafunzi katika
Licha ya idadi ya wanawake katika taalum ya teknologia kuwa ndogo ikilinganishwa na idadi ya wanaume, wanawake wameonekana kupambana ili kukabiliana na tofauti hiyo.Ripoti kutoka benki kuu ya dunia inaonyesha kuwa wanawake wako chini ya thulut
Makala haya yanazungumzia kuhusu uchafuzi wa bahari hasa katika eneo la Mbuyuni-Mji wa Kale kaunti ya Mombasa.Eneo hilo limeathirika na maji taka yanayotoka katika nyumba zinazopakana na ufuo wa bahari.Makala haya yametayarishwa na Ruth Keah.
17-year-old Jane is among the children with mental disabilities who were molested and impregnated. Jane is currentlyraising a three-month-old baby boy.By Rose Tawa.
Mabadiliko ya Tabia Nchi yameathiri sana wakulima na wafugaji hatua inayo wafanya wengi kukumbwa na tatizo la afya ya Akili.Kufuatia hatua hio sasa baadhi ya wakulima wanajizatiti kukabiliana na Afya ya Akili Inayosababishwa na mabadiliko hayo.
Makala haya yanazungumzia kuhusu hatua ambazo zimepigwa na wadau mbalimbali kuhakikisha kuwa dhulma za mtandaoni zinaripotiwa na wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria. Yametayarishwa na Ruth Keah.
Makala haya yanazungumzia kuhusu ujangili unaofanyiwa viumbe vya baharini. Yametayarishwa na Ruth Keah.
Makala haya yanazungumzia kuhusu mbinu ya Rangi ambayo wanabodaboda kaunti ya Mombasa wanatumia kutofautisha sehemu wanazohudumu kama njia moja ya kukabiliana na visa vya uhalifu. Makala yametayarishwa na Ruth Keah.
Makala haya yanazungumzia kuhusu juhudi za mashirika mbalimbali ambayo yamekuja pamoja kukabiliana na uvuvi wa kutumia mbinu haramu katika eneo la Shimoni Kwale. Yametayarishwa na Ruth Keah.
Ukataji wa miti kiholela umesababisha mabadiliko ya tabianchi,kiangazi,mmomonyoko wa udongo,mafuriko na ongezeko la hewa chafu hatua inayochangia athari mbali mbali kwa jamii.Kufuatia mabadiliko hayo ya tabia nchi,sasa jamii imejitokeza kuja n
Makala haya yanazungumzia kuhusu jamii ilivyoungana kulinda mazingira hasa mikoko katika eneo la Mida Creek Dabaso. Hatua iliyowafanya kujenga mkahawa juu juu ya mikoko na kwasasa mkahawa huo umekuwa kivutio kikubwa cha watalii kutoka humu nchi
Mabadiliko ya tabia nchi yanazidi kuathiri kila mtu kila siku,kufuatia hayo watu wenye ulemavu wamejikita katika mbinu mbali mbali za kukabiliana na mabadiliko hayo ya tabia nchi jijini Mombasa.Mwanahabri wetu Nuru Mwalimu ametuandalia makala y
Mabadiliko ya tabia nchi yanazidi kuathiri kila mtu kila siku,kufuatia hayo watu wenye ulemavu wamejikita katika mbinu mbali mbali za kukabiliana na mabadiliko hayo ya tabia nchi jijini Mombasa.Mwanahabri wetu Nuru Mwalimu ametuandalia makala y
Makala haya yanazungumzia kuhusu juhudi mbalimbali ambazo wanahabari wa Radio wanafanya kuhakikisha kuwa habari wanazopeperusha hewani ni za uhakika. Yametayarishwa na Ruth Keah
Kaunti ya Kilifi katika miaka ya hivi karibuni imetajwa kuwa Moja wapo ya kaunti zinazoongoza Kwa idadi kubwa ya wasichana wanaopata mimba za mapema nchini.Takwimu kutoka kwa mfumo wa taarifa za afya nchini yaani Kenya Health Information Syste
Kifafa ni ugonjwa wa ubongo unaosababisha mtu kupoteza fahamu kwa muda.Ugonjwa huu unaweza kumsababishia mtu kufanya vitendo visivyokuwa vya kawaida kama vile kuanguka, kufifitika na hata baadhi ya wagonjwa kutojielewa.Kulingana na takwimu ku
Makala haya kuhusu Uji wa chekechea yametayarishwa na Baya Kitsao.
Idadi kubwa ya wanawake wenye saratani ya matiti maeneo ya vijijini wamezongwa na kasumba kwamba saratani ya matiti ni kifo na sio rahisi kwa mgonjwa kupona.Ili kufutilia mbali kasumba kuwa saratani ya matiti ni kifo,nilifanikiwa kufanya mahoj
Rate

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features