Katika Kipindi hiki nimezungumzia vitu ambavyo Unaweza ukavifanya ukiwa Graphics designer, Photographer, videographer anaeanza katika fani hizi. Ni changamoto kubwa sana hasa tunapoanza kwa maana tunahitaji support kubwa ya kiuchumi ili ituwezeshe kutimiza malengo yetu kwa wakati muafaka, hivyo ni vyema kuwa na vyanzo tofauti tofauti vya mapato.
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More