Podchaser Logo
Home
SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Radio

SBS Swahili - SBS Swahili

A daily News, Society and Culture podcast
Good podcast? Give it some love!
SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Radio

SBS Swahili - SBS Swahili

Episodes
SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Radio

SBS Swahili - SBS Swahili

A daily News, Society and Culture podcast
Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of SBS Swahili

Mark All
Search Episodes...
Australia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.
Maadhimisho ya wiki yawakimbizi yalifanyika kote nchini Australia.
Waziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.
Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.
Waziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.
Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.
Maelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.
Taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.
Iyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.
Serikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.
Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.
Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.
Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao kwa sababu ya msimamo wa chama cha Greens kwa
Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.
Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.
Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshahara. Tume ya Haki ya Kazi ime inua kima cha chini cha mishahara na tuzo kwa asilimia 3.75 itakay
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yame thibitisha mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa ya nchi hiyo.
Mamilioni yawa Australia wata pata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mishahara yao, baada ya tume haki ya kazi kutoa uamuzi wake wa tathmini ya mwaka ya malipo.
Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.
Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hati ili kuficha malipo ya kumnyamazisha nyota wa ponografia kabla
The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia.
Hii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.
Waziri wa maswala ya kigeni wa Australia Penny Wong amesema shambulizi baya la anga la Israel katika mji wa Rafah, linatisha na halikubaliki. Takriban watu 45 wame uawa baada ya shambulizi hilo kusababisha moto mkubwa katika kambi ya mahema ya
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamemchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa siku ya Jumapili, kuwa spika mpya.
Rate

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features