Podchaser Logo
Home
Utawezana? Podcast

Utawezana? Podcast

Utawezana? Podcast

A Music podcast
Good podcast? Give it some love!
Utawezana? Podcast

Utawezana? Podcast

Utawezana? Podcast

Episodes
Utawezana? Podcast

Utawezana? Podcast

Utawezana? Podcast

A Music podcast
Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of Utawezana? Podcast

Mark All
Search Episodes...
Ok. Tumerudi. Yeah. Tulisafiri Kidogo. Lakini Hatujarudi Kizembe. Tumejipanga. Haya Ni Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusiana Na Nchi Hii Ya Korea ambayo binafsi Nimekua Nikiiona Kwenye TV. Hivi Unajua kuwa Mzuzu Kwa Wanaume Korea Siyo Ishu Saaaaaana!!
Mtatusamehe Sana Kama Studio Ilikuwa Kwenye Ukarabati Wa Na Ndo Maana Misumari Nyundo Na Sauti Za Mafundi Zinasikika. Kwenye Episode Hii Ambayo Ndo Inatamatisha Hii Season, Nimekutana Na Jamaa Mmoja Hivi Bonge La Bwana Yaaani Anaitwa Sunny Na K
Okay! Wakati Nimepeleka Meza Yangu Kwa Fundi ule muda Wa Kusubiria Matengenezo Nikaamua Nirekodi Hii Episode Ambayo Kwa Dhati Kabisa Inaelezea Wasanii Ambao Wana Followers Wengi Sana Kwenye Application Ya Boomplay Throughout..... Msanii Wa Kwan
Wasanii Wenye Streams Nyingi Zaidi Boomplay Kwa Wiki Hii Wamewekwa Wazi..... Tafadhali Enjoy Utawezana? Podcast!
Nilikuwa nna haraka Kidogo Wakati Narekod Nilikuwa Nawahi Kwenda Kunywa Chai Hii Episode Lakini Kitu Kizuri Ni Kwamba Nimekuletea Orodha Ya Video Ambazo Zimepata "Dislikes" Nyingi Sana Huko Mjini Youtube Kwa Tarehe 24 August 2020! Tuendeleee Ku
Nikiwa Sokoni Niliamua Kuchukua Uamuzi Wa Kurekodi Hii Podcast Na Ndo Maana Kelele Zimekuwa Nyingi Sana Lakini Sikutaka Kuedit Ili Upate Uhalisia. Humu Ndani Utasikia Mafuso, Mavuvuzela, Sauti Za Madroo Na Kadhalika Lakini Kikubwa Tuendeleee Ku
Akiwa Na Umri Wa Miaka 8 Tu Justin Campos Alianza Kujishughulisha Na Mambo Ya Camera Na Hadi Leo Hii Ameshaongoza Takribani Videos 500 za Muziki. Huyu Ndiye Campos Ambaye Kuna Kipindi Hapi Katikati Aliweza Kutufanya Watanzania Turahani Ladha Mp
U Hali Gani? Episode Nyingine Hii Ikikuletea Orodha Ya Nyimbo 10 Zilizotazamwa Zaidi Youtube kwa Wiki Hii. MTV Base Africa , I am Zuchu, Innos B, Rayvanny na Vitu Vingine Vingi Zaidi Vimenyumbulishwa Humu Ndani. Unakosaje Sasa? Karibu . Na Kuhu
Mambo? Karibu kwenye Episode Mpya Kabisa Tukizihesabu Nyimbo Kumi Zilizotazamwa Zaidi Hapa Tanzania Kwenye Mtandao Wa Youtube Kuanzia Tarehe 24-30 July 2020. NI MB Chache Tu, Tafadhali Enjoy!
Episode 1 Tunahesabu Videos Tano zilizoangaliwa zaidi Hapa nchini Tanzania Kwenye Mtandao Wa Youtube. Hii Huwezi Kuipata Sehemu Nyingine Yoyote Ni Hapa Tu. Je Msanii Wako Ameingia Kwenye Charts? TUSIKILIZE!
Karibu Kwenye Episode.1. Leo Niko Na Atsu Kijana Mtanashati Kabisa Na Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Pia Ni Shabiki Wa Muziki Wetu Huu Wa Bongofleva Akitokea Huko Iringa. Nilimuuliza Maswali Kumi Kuhusiana Na Tasnia Yetu Hii Je Aliweza Au Aliboronga?
Rate

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features