Podchaser Logo
Home
Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye  mtandao

Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye mtandao

Released Thursday, 12th August 2021
Good episode? Give it some love!
Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye  mtandao

Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye mtandao

Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye  mtandao

Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye mtandao

Thursday, 12th August 2021
Good episode? Give it some love!
Rate Episode

Historia kidogo

  1. Zaidi huduma nyingi kwenye mtandao ilikuwa unalipia mara moja tuu
  2. Hii ilikuwa ngumu lakini ukiweza lipia unakuwa umemaliza hiyo kitu   kwa miaka michache
  3. Sasa huduma zimebadilika utasikia manen mengi
    1.  Software as a Service
    2.  Hardware as a Service
    3.  Na hizo subscription
  4. Lengo ni kupunguza gharama za mwanzo na kufanya gharama kuwa  nafuu lakini utalipa kila mwezi which posses a risk
  5. Utajikuta sasa kila mwisho wa mwezi una lundo la mambo ya kulipia,   bado hujalipa bill za maji na umeme.
  6. Kama hutokuwa mwangalifu unaweza kujikuta umekatwa pesa kwa  subscription zisizo za msingi.
Show More

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features