Podchaser Logo
Home
Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform

Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform

Released Thursday, 16th September 2021
Good episode? Give it some love!
Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform

Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform

Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform

Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform

Thursday, 16th September 2021
Good episode? Give it some love!
Rate Episode

Leo tunakwenda kujadili kidogo kuhusu path niliyochukua kutengeneza cross platform apps, hapa ninamaanisha Android and iOS App.  Kutokea awali nimekuwa mzito sana kudevelop apps ambazo sio native yaani sio specific kwa Android na iOS.

Nina imani toleo hili litakuwa msaada pia kwa wadau mbalimbali wa TEHAMA kujua technolojia zinazohusika kutengeneza Mobile Apps.

So balbu imewaka na unapata this next great idea for a mobile app ambayo unataka kuitengeneza. Itabadilisha maisha yake, utakupatia pesa sasa what’s the next step you need to take?

Jambo la muhimu unalopaswa kuamua mapema kabisa kabla hujaanza kutengeneza application yako. Na hapa ninazungumza from developer point of view.

Okay kuna React Native, kuna … Flutter yes yes kuna KMM yaani Kotlin Multi Platform Mobile. Which one ninapaswa itumia? Je, nitaamua kutokana na technolojia ninayoifahamu au nitaassess features muhimu kwa app yangu kisha niwe guidance Framework ili itakuwa sahihi kwa use case yangu.

Hilo ninaachia wewe sasa, huu ndio uamuzi wangu kuhusu hili kwa nini nimechagua KMM over other technology. But seriously hii inadepend ya use case yako na how quickly you want to address the problem. Anyways tuangalie kuna nini kwenye KMM, pia nitasubiri maoni yako.

Show More

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features