Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na leo ninazungumza na Marvin Collins kutoka nchini Kenya. Marvin ni Software Developer, sasa kuna mambo machache nilipenda kujadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu Developers' Community nchini Kenya.
1. Namna startup za kenya zinafanya kazi
2. Ni vipi covid -19 imeathiri meetup za Developers
3. Kuna urahisi au ugumu kuanzisha tech startup nchini Kenya
Basi waambie wengine unaweza kusikiliza Yesaya Software Podcast kupitia Google au Apple Podcast vilevile kwenye Spotify au Amazon Music. Pia kuna Youtube channel ya Yesaya Software ambayo ninaweza video kuhusu programming na zipo tutorial kadhaa unazoweza ziangalia.
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More