Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Neema Rajabu, Neema ni mhadhili msaidizi yaani assistant lecturer na mbobezi kwenye eneo la Software Engineering. Nilitamani kupata hamasa kutoka kwake kuhusu Python Programming Language. Kuna nini huko, ina wepesi gani na pengine kupata historia yake kidogo.
Tuliangazia kwa mapana kuhusu language hii pia frameworks na community support ya Python ikoje?
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More