Kwa muda mrefu barani Afrika kumekuwa na matukio ya mapinduzi ya kijeshi kwa serikali za kiafrika. Maswali ya msingi ya kijiuliza, kwanini umoja wa Afrika umelaani tukio la kupinduliwa kwa serikali ya Mali huku wakati wa mgogoro hawakuingilia kati, nani alipaswa kuwasaidia wananchi wa Mali ili kupata haki zao? Karibu sana katika mjadala huu