Taifa lolote duniani linategemea nguvu ya kijana kwa ajili ya kuneemeka kiuchumi. Vijana wengi wapo mitaani, wengine wametumbukia katika dimbwi la matendo haramu, lakini wengine wapo katika kazi zisizo rasmi licha ya kuwa wanayo taaluma na weledi. Je wanafahamu THAMANI NA NH7VU YAO kwa ngazi ya familia, jamii na hata taifa kwa ujumla? Karibu sana kufuatilia THAMANI NA NGUVU YA KIJANA PODCAST utambue umhimu wako. Uchumi wa familia, jamii na taifa na hata dunia uko mikononi mwa kijana, na kijana ni wewe.
DUNIA INAKUHITAJI KULIKO UNAVYODHANI
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More