Kutokana na mahangaiko ya kila siku, matukio mbali mbali yanatokea ikiwemo mazuri na mabaya. Tatizo ni kuwa wengi tunaotikia tofauti tofauti kila matukio haya yanapoendelea katika maisha yetu ya kila siku. Madhara ya misongo ya mawazo yanatofau
Mimi ni shuhuda mkubwa, Kuna wakati katika maisha nimetamani kufanya maamuzi lakini nikashhindwa kufanyua kwa wakati. Mpaka nilipokuja kuamua nilikuwa angalau tayari nimesha dhurika kwa kiasi chake. Kupitia najua haya, nimegundua kuwa hata kama