Podcast ya dakika 60 ipo based on twitter ambapo inafanyikainterview kwa njia ya simu ya mkononi ambapo yanaulizwa maswali tofauti tofauti kwa mmoja wa watu ambae atabahatika kupigiwa simu siku ya Ijumaa. Katika Phone call fotty ataongea na Influencers,wafanyabiashara,wasanii na watu wenye kuleta mabadiliko kwenye jamii.
Show More
Creators & Guests
We don't know anything about the creators of this podcast yet. You can so they can be credited for this and other podcasts.