Podchaser Logo
Home
PHONECALL PODCAST

Fotty

PHONECALL PODCAST

A daily Music podcast
Good podcast? Give it some love!
PHONECALL PODCAST

Fotty

PHONECALL PODCAST

Episodes
PHONECALL PODCAST

Fotty

PHONECALL PODCAST

A daily Music podcast
Good podcast? Give it some love!
Rate Podcast

Episodes of PHONECALL PODCAST

Mark All
Search Episodes...
Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malemb
Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna ki
Mwalimu ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu na walimu wamebadilisha maisha ya watu wengi sana. Leo nimefanya mahojiano na mwalimu wa watoto wadogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye mitandao ya kijamii, tumezungumzia mambo mengi
Episode hii nimeifanya special kwa ajili ya valentine kilichonifanya niwachague Mr & Mrs Mrusi ni kwa sababu wapenzi hawa twitter ndo iliwakutanisha kwa mara ya kwanza na baada ya hapo kufikia maamuzi ya kuoana, kwenye Episode hii tumezungumza
Geoffrey Lea ndio amehusika kwenye Episode hii ya 2 msimu wa 2 ni mchambuzi na mtangazaji wa michezo kutokea Efm, Kwenye Episode hii tumeongea mambo mengi kuhusu mpira wa miguu lakini vile vile mpira wa kikapu sababu yeye ni mpenzi wa kikapu pi
Baada ya mapokezi mazuri ya msimu wa kwanza uliokua na takribani Episodes 10 ambapo wahusika walikua...@MiriamMkanaka @mpambazi @abdulazackabdul @Mudimabiriani @princessfeona @mcnikawalamar @lusakowakwanza @georgeAmbangile @shamiraMshangama @fr
Fred Kavishe mmoja wa waanzilishi wa TOT BONANZA (Tanzania On Twitter) bonanza kubwa linalowakutanisha watumiaji wa twitter sehemu moja ili kuweza kujuana zaidi na kuenjoy, Kwenye Episode hii tumeongelea mambo mengi sana kuhusu Bonanza hili kua
Shamira Mshangama ni Mkurugenzi mtendaji na Muanzilishi wa Tasisi ya (Mwanamke na Uongozi) ni tasisi isiyokua ya kiserikali (NGO), yenye kazi ya kuhamasisha wasichana wenye Umri kuanzia miaka 12 kushiriki nafasi mbali mbali za uamuzi na kugombe
Rate

Join Podchaser to...

  • Rate podcasts and episodes
  • Follow podcasts and creators
  • Create podcast and episode lists
  • & much more

Unlock more with Podchaser Pro

  • Audience Insights
  • Contact Information
  • Demographics
  • Charts
  • Sponsor History
  • and More!
Pro Features