Katika Audio hii nimetoa ushauri ni vitu gani unaweza ukavifanya ili uweze kujifunza Graphics design pasipo kwenda Shule/Chuo/Collage.
Suala hili limekuja baada ya Swali la Kaka umesomea chuo gani maswala haya ya Graphics Design?. Endapo Utaisikiliza Audio hii mpaka mwisho basi utakuwa Umepata mwanga na uelekeo wa wewe sehemu za kupitia ili uweze kufanikiwa zaidi katika wanda huu wa Graphics Design
Podchaser is the ultimate destination for podcast data, search, and discovery. Learn More